Vuvuzela kulaki Kombe la Dunia,Kenya
- Length: 2:16
- Rating Average: n/a
- View Count: 402
- Author: NTVKenya
Tags: NTV Kenya vuvuzela world cup kombe la dunia Nyayo stadium Kasarani tour coca cola
ijayo katika uwanja wa kitaifa wa Nyayo, na wala si Kasarani kama ilivyotangazwa hapo awali. Kampuni ya Coca cola ambayo imedhamini ziara hiyo ya dunia imesema Uwanja wa Nyayo utafikiwa kwa urahisi na mashabiki wengi zaidi, ndiposa mabadiliko hayo. Mbali na kushuhudia kombe hilo na pia kupiga...
Gumzo Mitaani: Suala la VW Passat
- Length: 3:28
- Rating Average: n/a
- View Count: 1866
- Author: NTVKenya
Tags: NTV Kenya gumzo mitaani VW Passat magari cars Mercedes benz
www.ntv.co.ke Muda uliopewa mawaziri wawe wamerejesha magari yao ya kibwanyenye na kuanza kutumia magari aina ya VW Passat umemalizika leo (Jumatano) huku baadhi yao wakiwa bado wanasitasita. Suali ni je, watakaokataa kabisa kurejesha magari hayo ya kifahari watachukuliwa hatua chini ya sheria...
meet ME!
- Length: 0:23
- Rating Average: 5.0' max='5' min='1' numRaters='1' rel='http://schemas.google.com/g/2005#overall from people
- View Count: 3
- Author: BcmComedyNetwork1
hayo its me yes sir re
Mzozo nyumbani, masaibu ya Jacob Omondi
- Length: 3:18
- Rating Average: 5.0' max='5' min='1' numRaters='1' rel='http://schemas.google.com/g/2005#overall from people
- View Count: 1288
- Author: NTVKenya
Tags: NTV Kenya husband battered wife beat mzozo nyumbani marriage mean beaten
www.ntv.co.ke Ni nadra sana kusikia mume amepigwa na mkewe lakini visa vya wanaume wanaopigwa na wake zao vipo ingawa wahusika wengi huwa hawataki kujitokeza na kusimulia masaibu yao. Hatahivyo kuna bwana mmoja ambaye ameamua kusema wazi kwamba anapigwa na mkewe na madai hayo yakathibitishwa na...
Mahusiano ya jinsia moja
- Length: 3:30
- Rating Average: n/a
- View Count: 1143
- Author: NTVKenya
Tags: NTV Kenya gays hiv aids NASCOP Ukimwi men homosexual
mahusiano ya kimapenzi ya watu wa jinsia moja baada ya kugunduliwa kwamba kundi hilo la watu limechangia asilimia 15 ya maambukizi mapya ya ukimwi humu nchini. Lengo la utafiti huo ni kutafuta njia za kuwasaidia watu hao kukabiliana na maambukizi hayo. Mkurugenzi wa shirika hilo la NASCOP, Dr....
אריק איינשטיין - היה היה (לזיגי) Psychedelic Israeli Arik Einstein
- Length: 7:51
- Rating Average: 5.0' max='5' min='1' numRaters='1' rel='http://schemas.google.com/g/2005#overall from people
- View Count: 71
- Author: israelidol
Tags: אריק איינשטיין זיגי סקרבניק מישה סגל החלונות הגבוהים Arik Einstein The Churchills
Arik Einstein - "Hayo Haya (Lezigi)" (Unce Apon A Time (To Zigi). Psychedelic Israeli Music from the 1960s The Churchills השיר "היה היה (לזיגי)", שסוגר את אלבומו של אריק איינשטיין "פוזי" מוקדש לזיגי סקרבניק והוקלט...
Tinus am Splash 2009 part2
- Length: 10:9
- Rating Average: n/a
- View Count: 38
- Author: tinus073
Tags: tinus tinus073 splash festival ferropolis germany heltah skeltah method man redman la coka nostra jedi mind tricks den bosch cartes kleine jay pietje puk thyza chapa ibarra Met de boys IJgenwijs Pater Hayo Stash Jerry Ronny Perverz Dimmy en Tamagotchi Jeroen 2e Jaar dat we die shit daarzo rocken in Oost Duitsland Kamp Holland word steeds groter was gruwelijk bananas ook fokt op Check filmpjes maar you'll see
Met de boys IJgenwijs, Pater, Hayo, Stash, Jerry, Ronny, Per.verz, Dimmy en Tamagotchi Jeroen 2e Jaar dat we die shit daarzo rocken in Oost-Duitsland. Kamp Holland word steeds groter! Shit was gruwelijk, Shit was bananas, Shit was ook fokt op. Check de filmpjes maar you'll see... ... tinus...
Eldoret: Muendeshaji pikipiki auawa
- Length: 1:12
- Rating Average: n/a
- View Count: 1120
- Author: NTVKenya
Tags: Ntv kenya eldoret taxi driver motorbike dead hijacked murder police killings
www.ntv.co.ke Mwendeshaji pikipiki aliyetekwa nyara wilayani Wareng siku ya jumanne leo amepatikana akiwa ameuawa. Watu wawili wamekamatwa kufuatia mauaji hayo huku wakaazi wakiwataka polisi watoe ulinzi kwa raia. Hiki ni kisa cha tisa cha mauaji ya waendeshaji pikipiki katika eneo hilo. ... Ntv...
KCSE: Hatima ya wanafunzi waliozuiwa kuufanya
- Length: 2:7
- Rating Average: n/a
- View Count: 722
- Author: NTVKenya
Tags: ntv Kenya st. getrudes dandora kcse certificate of secondary education
www.ntv.co.ke Wanafunzi ishirini na wawili wa shule ya upili ya St Getrude iliyoko Dandora hapa Nairobi watalazimika kusubiri hadi mwakani kufanya mtihani wao wa kidato cha nne, KCSE. Hayo yamefahamika leo baada ya wanafunzi hao kuzuiwa kufanya mtihani kufuatia majina yao kukosekana katika...
Mbio za mbuzi Diani
- Length: 0:28
- Rating Average: 2.0' max='5' min='1' numRaters='2' rel='http://schemas.google.com/g/2005#overall from people
- View Count: 1468
- Author: NTVKenya
Tags: ntv Kenya The Diani goat derby Mbio za mbuzi Leisure Lodge hotel
www.ntv.co.ke Makala ya kumi ya kuchangissha pesa ya mashindano ya mbio za mbuzi huko Diani yaliandaliwa katika hoteli ya Leisure Lodge. Mbuzi 37 walishiriki katika mashindano ya mwaka huu. Kulikuwa na mbwembwe si haba katika mashindano hayo ambapo mbuzi hao walishiriki katika mbio nane tofauti....
Page: 1 of 89